Recent News and Updates
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) yatekeleza dira yake kwa vitendo kwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kimataifa katika kutoa huduma, mafunzo na utafiti wa moyo
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (Jakaya Kikwete Cardiac Institute - JKCI) kinara utalii wa matibabu (Medical Tourism) Kusini mwa Afrika katika kuimarisha ushirikiano wa Kitaasisi katika kutoa huduma za matibabu bobezi ya moyo.… Read More
Rais Samia afika eneo la Embassy Park lenye makaburi ya Marais wa Jamhuri ya Zambia na kuweka Shada la Maua katika Kaburi la Hayati Dkt. Kenneth Kaunda, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Zambia
Mhe. Rais Samia afika eneo la Embassy Park lenye makaburi ya Marais wa Jamhuri ya Zambia na kuweka Shada la Maua katika Kaburi la Hayati Dkt. Kenneth Kaunda, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Zambia Read More