News and Events Change View → Listing

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) yatekeleza dira yake kwa vitendo kwa kuimarisha ushirikiano wa kikanda na kimataifa katika kutoa huduma, mafunzo na utafiti wa moyo

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (Jakaya Kikwete Cardiac Institute - JKCI) kinara utalii wa matibabu (Medical Tourism) Kusini mwa Afrika katika kuimarisha ushirikiano wa Kitaasisi katika kutoa huduma za…

Read More

Rais Samia afika eneo la Embassy Park lenye makaburi ya Marais wa Jamhuri ya Zambia na kuweka Shada la Maua katika Kaburi la Hayati Dkt. Kenneth Kaunda, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Zambia

Mhe. Rais Samia afika eneo la Embassy Park lenye makaburi ya Marais wa Jamhuri ya Zambia na kuweka Shada la Maua katika Kaburi la Hayati Dkt. Kenneth Kaunda, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Zambia

Read More

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APEWA HESHIMA YA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 59 YA UHURU WA ZAMBIA ZILIZOFANYIKA IKULU YA LUSAKA, ZAMBIA TAREHE 24 OKTOBA 2023

Tarehe 24 Oktoba 2023 , Jamhuri ya Zambia ilihitimisha miaka 59 ya uhuru wake ambapo Rais Samia Suluhu Hassan alipewa heshima ya kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo ambayo huenda sambamba na uwekaji wa…

Read More

WATUMISHI WA UBALOZI NA OFISI YA SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA KWA PAMOJA NA DIASPORA WAPAMBA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Lt Gen Mathew Edward Mkingule aliambatana na Mama Balozi Frida Mathew Mkingule,  baadhi ya Watumishi wa Ubalozi na Watanzania waishio nchini Zambia katika Mapokezi ya…

Read More

MAPOKEZI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NCHINI ZAMBIA YAFANA

Ziara ya Kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Zambia imefana kwa mapokezi makubwa yaliyoandaliwa na Serikali ya Jamhuri ya Zambia. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda…

Read More

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI NCHINI ZAMBIA TAREHE 23 OKTOBA 2023 KWA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU TATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Zambia tarehe 23 Oktoba 2023  kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku tatu na kupokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya…

Read More

CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NA CHUO KIKUU CHA ZAMBIA ZIMESAINI HATI YA MAKUBALIANO YA USHIRIKANO KATIKA TAALUMA PAMOJA NA UFUNDISHAJI WA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI ZAMBIA

Maadhimisho ya Pili ya Kiswahili Duniani mwaka 2023 nchini Zambia yalihusisha tukio la utiaji saini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam na Chuo Kikuu cha Zambia katika…

Read More