Mhe. Rais Samia afika eneo la Embassy Park lenye makaburi ya Marais wa Jamhuri ya Zambia na kuweka Shada la Maua katika Kaburi la Hayati Dkt. Kenneth Kaunda, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Zambia