Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr Samia Hassan Suluhu akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hichilema ikulu ya Zambia mara baada ya Uapisho wa rais mpya huyo wa Zambia mjini Lusaka.